Chuo cha uandishi was habari Dsj kimeboresha kanuni na taratibu za studio ili kusiwe na uharibifu na wizi,Kanuni hizo
-Wanafunzi wanahitajika wawe na Identity card ya chuo ili waingie studio
-Kuhakiki muongozo husika kabla ya kuingia studio (script)
-Kuhakikisha kuingia studio kwa ratiba maalum kama inavyosema
-Hairuhusiwi kuingia na vyakula au vimiminika vyovyote
Hizo ndo baadhi ya sheria mpya za studio

Comments
Post a Comment