Ukiingia kwenye website ya NEC na kuweka nambari ya mpiga kura utaweza ona online status yako (mpiga kura) na kituo chako cha kupigia kura. Taarifa wanazozitoa ni sahihi kwa asilimia 100. Wadau wote tutizame status zetu ili kuepukana na disappointments za dakika za mwisho.
Hii itazidi kutupa uhakika wa kupiga kura zetu
Comments
Post a Comment