Chuo cha uandishi wa habari Dsj cha boresha mazingira ambayo mwaka Jana,mazingira hayo yalionekana dhaifu kutokana na chuo kutokuwa na usimamizi maalum wa mazingira yake.chuo hicho kwa madai ya mwanafunzi wa stashahada Abdul nabeel akisema "mwaka Jana Mazingira yalikuwa dhaifu sana magogo yalienea Kula kona Kuni nyingi ambazo zilikosa sehemu za pakuhifadhia Ila nashukuru kwa uwongozi wa Chuo baada ya kuskiliza maoni na vilio vya wanafunzi wa chuo na kurekebisha mazingira hayo" Mwanfunzi huyi alisema
Chuo cha uandishi was habari Dsj kimeboresha kanuni na taratibu za studio ili kusiwe na uharibifu na wizi,Kanuni hizo -Wanafunzi wanahitajika wawe na Identity card ya chuo ili waingie studio -Kuhakiki muongozo husika kabla ya kuingia studio (script) -Kuhakikisha kuingia studio kwa ratiba maalum kama inavyosema -Hairuhusiwi kuingia na vyakula au vimiminika vyovyote Hizo ndo baadhi ya sheria mpya za studio

Comments
Post a Comment