Skip to main content

WANAFUNZI WA DIPLOMA 1A WAKITOA UFAFANUZI DHIDI YA KUJIKINGA NA VIRUSI VYA UKIMWI

WANAFUNZI wa diploma 1A wakiwa wamesimama mbele ya darasa kijumla na wanafunzi wenzao kutoa maelezo dhidi ya kujikinga na virus I vya ukimwi ambapo walieleza kujikinga na virusi pia kuwahi kwenda hospital ili kujua tatzo kabla hali ijazidi kuwa mbaya

Comments

Popular posts from this blog

KANUNI NA TARATIBU ZA STUDIO

Chuo cha uandishi was habari Dsj kimeboresha kanuni na taratibu za studio ili kusiwe na uharibifu na wizi,Kanuni hizo -Wanafunzi wanahitajika wawe na Identity card ya chuo ili waingie studio -Kuhakiki muongozo husika kabla ya kuingia studio (script) -Kuhakikisha kuingia studio kwa ratiba maalum kama inavyosema -Hairuhusiwi kuingia na vyakula au vimiminika vyovyote Hizo ndo baadhi ya sheria mpya za studio
Chuo cha uwandishi wa habari Dar-es-salaam school of journalism Msajili wa Chuo anatoa Tangazo kuwa wanafunzi wote ambao hawajasajiliwa NACTE Kufika ofisini kwake kwa msajili NB:Uwe na shilingi 20,000 Ili uweze kusajiliwa MUHIMU:Wanafunzi wa diploma 1B ya January na 36A Certificate

Wabongo Waliokuwa China Mji wa Wuhan waomba warudishwe nchini

Wanafunzi wanaosoma kama mji wa Wuhan waomba nchi ya Tanzania kuchukua hatua Ya kurudishwa nchini,Wanafunzi hao wanao jikinga na virusi vya Corona Ambavyo vinavyowakumba wakazi wa China Ikiwa ishauwa watu zaidi ya 660 SERIKALI: Ya Tanzania inahitajika ichukue hatua ya kutuma ndege maalum ya kuchukua tu wakazi wa Nchini