Skip to main content

Posts

Showing posts from March, 2020

WANAFUNZI WA DIPLOMA 1A WAKITOA UFAFANUZI DHIDI YA KUJIKINGA NA VIRUSI VYA UKIMWI

WANAFUNZI wa diploma 1A wakiwa wamesimama mbele ya darasa kijumla na wanafunzi wenzao kutoa maelezo dhidi ya kujikinga na virus I vya ukimwi ambapo walieleza kujikinga na virusi pia kuwahi kwenda hospital ili kujua tatzo kabla hali ijazidi kuwa mbaya

WANAFUNZI WA DIPLOMA 1A WAKIAFIKIANA JUU YA SWALA LA KUTEMBELEA WATOTO YATIMA

Wanafunzi wa diploma 1A wakichanganua juu ya mchakato wa kutembelea watoto yatima,Wanafunzi hao ambapo wamekubaliana kila mwanafunzi kutoa mchango wa 20,000 Tsh Kwa kila mwanafunz.Akisema amir shaban "Tunaomba kutoa michango mingi ili tuweze kuwapa moyo kwamba kuna watu wanaowajali ukiachana na Wanaoishi nao na kuwalea"

KANUNI NA TARATIBU ZA STUDIO

Chuo cha uandishi was habari Dsj kimeboresha kanuni na taratibu za studio ili kusiwe na uharibifu na wizi,Kanuni hizo -Wanafunzi wanahitajika wawe na Identity card ya chuo ili waingie studio -Kuhakiki muongozo husika kabla ya kuingia studio (script) -Kuhakikisha kuingia studio kwa ratiba maalum kama inavyosema -Hairuhusiwi kuingia na vyakula au vimiminika vyovyote Hizo ndo baadhi ya sheria mpya za studio

CHUO CHA UANDISHI WA HABARI (DSJ) YABORESHA MAZINGIRA YA CHUON

Chuo cha uandishi wa habari Dsj cha boresha mazingira  ambayo mwaka Jana,mazingira hayo yalionekana dhaifu kutokana na chuo kutokuwa na usimamizi maalum wa mazingira yake.chuo hicho kwa madai ya mwanafunzi wa stashahada Abdul nabeel akisema "mwaka Jana Mazingira yalikuwa dhaifu sana magogo yalienea Kula kona Kuni nyingi ambazo zilikosa sehemu za pakuhifadhia Ila nashukuru kwa uwongozi wa Chuo baada ya kuskiliza maoni na vilio vya wanafunzi wa chuo na kurekebisha mazingira hayo" Mwanfunzi huyi alisema