WANAFUNZI wa diploma 1A wakiwa wamesimama mbele ya darasa kijumla na wanafunzi wenzao kutoa maelezo dhidi ya kujikinga na virus I vya ukimwi ambapo walieleza kujikinga na virusi pia kuwahi kwenda hospital ili kujua tatzo kabla hali ijazidi kuwa mbaya
Wanafunzi wa diploma 1A wakichanganua juu ya mchakato wa kutembelea watoto yatima,Wanafunzi hao ambapo wamekubaliana kila mwanafunzi kutoa mchango wa 20,000 Tsh Kwa kila mwanafunz.Akisema amir shaban "Tunaomba kutoa michango mingi ili tuweze kuwapa moyo kwamba kuna watu wanaowajali ukiachana na Wanaoishi nao na kuwalea"